Public Relations Society of Tanzania

  • 17 Jul, 2023
  • Admin

Taarifa zinaonesha kuwa katika bara la Afrika ni 4% hadi 6% tu za taarifa zote muhimu ndio zinawafikia wadau na Umma wakati 94% zikiwa ziko kwenye makabrasha ndani ya ofisi zetu. PRST inakuletea mjadala juu ya Utoshelevu wa Mfumo wa Utoaji Elimu kwa Umma.

Utakuwa mjadala muhimu kwa Maafisa Uhusiano na Mawasiliano wote Tanzania. 


Tunawakaribisha sana kushiriki kwa kutoa mchango wenu wa mawazo na mbinu.

Share This