NAMTHAMINI, NASIMAMA NAYE.

PRST yaunga mkono kampeni ya Namthamini, nasimama naye inayoendeshwa na kituo cha habari cha East Africa (EATV & Radio) inayolenga kukusanya taulo za kike (pedi) kwa ajili ya kuwasaidia wasichana wa shule wenye mazingira magumu zaidi ya 5000.

#PRSTtunamthamini #PRSTtunasimamanaye

Leave A Reply