USAJILI WA WANACHAMA PRST WAENDELEA

PRST yaendelea kupokea maombi ya wadau wa Mawasiliano wenye nia ya kujiunga katika Chama. Viongozi wa PRST wameshauri wadau wote wa mawsiliano kote nchini Tanzania kujisikia kuwa wanachama na hivyo kujiunga kwa wingi kama wanavyofanya sasa. Ili kujiunga tembelea tovoti ya PRST na upakue fomu.